Thursday, February 12, 2009

Ndiyo hali halisi





Picha kwa hisani ya Faraja Jube, Dodoma

NILIPOZIONA hizi picha nilikumbuka miaka ilee, hata kama hutaamini haya ndiyo madarasa ya baadhi ya shule nchini hasa za vijijini.
Hilo ni jengo darasa katika shule ya msingi wilayani Kongwa mkoani Dodoma, mwenye macho na aone.

No comments:

Post a Comment