Wednesday, March 23, 2011

Mtangazaji amkera Chriss Brown, avua shati studio

Inadaiwa kuwa, kwa sababu ya hasira, msanii huyo amevunja kioo katika chumba cha kubadilishia nguo nyumbani kwake.
Mwanamuziki maarufu wa R&B, Chriss Brown (21) akiwa na anahojiwa leo asubuhi studio.
Alitoka nje kwa hasira akiwa anavyonekana baada ya mtangazaji kumuuliza kwa nini alimdunda aliyekuwa mpenzi wake, Rihanna, mwaka 2009.

No comments:

Post a Comment