“Sasa wakishaona wanabaguliwa, wananyimwa fursa kadha, kwa mfano
vijana katika suala la ajira, hapo huwa rahisi kupenyeza mbegu mbaya
inayochangia kuua uzalendo, na badala yake kushiriki katika matukio
yenye sura za kigaidi.
“Hawa huwa sawa na ardhi yenye rutuba
ambayo husubiri mpandaji tu, sasa huyu mpandaji ni hao wenye ushawishi
wa kuwaingia vijana kwenye makundi ya kigaidi na mengine yenye misimamo
mikali ya kisiasa na kidini pia,”
Rais Jakaya Kikwete.
No comments:
Post a Comment