“Kwa mantiki hiyo, wamiliki wote wa pikipiki za magurudumu mawili na
matatu wanajulishwa kuwa namba zote zitabadilishwa kuanzia Oktoba mosi
mwaka huu, hivyo wamiliki wa vyombo hivyo wanatakiwa kufika katika ofisi
za TRA kwa ajili ya utaratibu huo ,”
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
No comments:
Post a Comment