“Kuwavua wanachama 72 uanachama kwa mujibu wa Katiba ya Simba Ibara
54(5) mtu yeyote anayetakiwa kufutwa uanachama, lazima apewe maandishi
na mpaka sasa siamini kama nimefukuzwa, niseme kwamba mpaka sasa
sijapata barua ya kufukuzwa, mpango wa viongozi hao wachache wa kutufuta
uanachama hautafanikiwa,”
Michael Wambura
No comments:
Post a Comment