“Usalama wa taifa wanaosema unahatarishwa ni upi ni kwa mtanzania aliye
nje kuja nchini kwake au kumpa uraia wa pili Mnyarwanda ambaye nchi yake
inaruhusu uraia pacha na ukamnyang’anya hati ya kusafiria na akienda
kwao atapewa nyingine huku akitoa siri za nchi na yule mfanyakazi wa
serikali mwenye siri nyingi anayezitoa kwa kupokea rushwa.
Marekani
inaweza kuleta satelaiti ikasikiliza mawasiliano ya nchini. Hivi si
vigezo vya kumnyima uraia mtanzania aliye nje”.
Mwakilishi wa Diaspora, Kadari Singo
No comments:
Post a Comment