“Kazi ya
kumnyonyesha mtoto inatakiwa kufanywa kwa dakika 45, bila kumkatisha mtoto,
lakini hizi teknolojia zetu zinafanya wazazi watumie muda mwingi na simu au
shughuli zingine jambo ambalo si sahihi,”
Daktari Bingwa wa Watoto,Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Augustine Massawe.
No comments:
Post a Comment