“Bunge Maalumu la Katiba limeundwa kwa mujibu wa sheria, ambayo sote 
tulishiriki kuiandaa, ambayo inasema kutakuwa na makundi matatu, ambayo 
ni wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, wajumbe wa Baraza la 
Wawakilishi na wateule 201 wa Rais kutoka makundi mbalimbali ya kijamii. 
“Hivyo mimi ni Mbunge wa Mpanda Kati, naingia kwa mujibu wa 
Katiba, nina haki kisheria kuwakilisha wananchi wangu, vyama visitake 
kupora mamlaka ya wananchi waliotutuma,” 
Mbunge wa Mpanda Kati, Said Arfi. 
 
 
No comments:
Post a Comment