“Mara nyingi, Afrika inaonekana kama
nchi moja badala ya bara moja, na hivyo tatizo katika nchi moja kwa
urahisi sana linafanywa tatizo la nchi zote na kwa namna hasi.”
Hii ni tofauti na Bara la Asia, ambako vyombo vya habari huelezea
picha nzuri za matukio ya Afrika.
Hii ndiyo maana kuna ongezeko la
uwekezaji wa sekta binafsi ya Asia katika Afrika leo kuliko ilivyokuwa
miaka 10 iliyopita,”
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete
No comments:
Post a Comment