Msanii wa bongo flava nchini Tanzania, Diamond, amefurahi picha yake kuchorwa kwenye daladala nchini Kenya (matatu). Alichokisema Diamond hiki hapa.
His message on Instagram.
one of the most grateful things in life is to see the society
appreciate your hard work… in real sense i jus become speechless… I got
this from one of the public transports in Kenya…. ( moja ya faraja kubwa
katika maisha ni kuona jamii inapokea na kusupport jitihada ya kazi
zako…. kiukweli nakosa hata cha kuzungumza… hii nimeipata toka kwenye
moja ya madaladala Kenya…)
Nairobiwire
No comments:
Post a Comment