Thursday, April 10, 2014

Birthday party ya mke wa Rais Kenyatta

margaret2
Margaret-Kenyatta-post 
 Mke wa Rais Kenyatta, Margaret, akizima mishumaa jijini London, Uingereza wakati wa sherehe za kumpongeza kutimiza umri wa miaka 50 aprili 8 mwaka huu. 

Mke wa kiongozi huyo yupo Uingereza kushiriki mbio za marathon jumapili wiki hii kwa ajili ya kampeni yake iitwayo Beyond Zero.

Soma hapo chini 

The First Lady is currently in London preparing for Sunday’s London marathon for her Beyond zero campaign. Despite being away from her close family members, she celebrated turning 50 in style. 

The celebration was attended by her mother in law Mama Ngina Kenyatta, her marathon team members and staff from her office. Among the gifts she received, besides the magnificent cake was a birthday card from her Mama Ngina.
margaret1
margaret3
margaret4
Mke wa Rais Uhuru Kenyatta, Margaret, akifurahia jambo na mkwewe, mama mzazi wa Rais Kenyatta, Mama Ngina Kenyatta, jijini London wakati wa sherehe za mke wa Rais kutimiza umri wa miaka 50 Aprili nane mwaka huu.
Nairobiwire

No comments:

Post a Comment