Tuesday, January 7, 2014

Walivyomzika Dk Mgimwa


Rais Jakaya Mrisho Kikwete  na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima baada ya kuweka shada la maua   wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa,  Desemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akimfariji  Mjane wa  Marehemu wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa,  Desemba 6, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akimfariji Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa,  Desemba 6, 2014

Naibu  spika  wa Bunge Job Ndungai  akiweka  mchanga  katika kaburi ya  Dr Mgimwa


Mwili  wa Dr Mgimwa ukishushwa kaburini. Picha zote kwa hisani ya blog ya Iringa Yetu, Ikulu


No comments:

Post a Comment