Wednesday, December 11, 2013

Nukuu ya leo

“Mimi sitagombea, waambieni watu ili wasiogope kujitokeza kuchukua fomu kwa sababu yangu, Yanga ni klabu ya wanachama, wale wenye sifa wajiandae na mimi niko tayari kuwa mwanachama wa kawaida na shabiki kama ilivyo wengine,” Yusuf Manji.

No comments:

Post a Comment