Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Arumeru Magharibi ambaye pia ni Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Medeye, bungeni mjini Dodoma
Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola akichangia bungeni Mjini Dodoma
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Mahusiano na Uratibu, Steven Wasira (kushoto), Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi (wa pili kulia) na
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mathayo David Mathayo, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment