Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho 
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akitoa heshima za mwisho
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda, akitoa heshima za mwisho

Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa akitoa heshima za mwisho.


Mjane wa marehemu, Anna, akiwa na mwanawe, Dk Natujwa.


Dk Natujwa Mvungi akiwa na mama yake, Anna Mvungi wakati wa ibada ya mazishi, Dar es Salaam.

Picha kwa hisani ya Blog ya Habari Mseto
No comments:
Post a Comment