Saturday, November 2, 2013

Bosi mkuu Tume ya Uchaguzi Kenya out



Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ( IEBC ) nchini Kenya imewasimamisha kazi mara moja Ofisa Mtendaji Mkuu , James Oswago, Naibu Katibu wa IEBC, Wilson Shollei, Mkurugenzi wa Fedha, Edward Karisa na Meneja wa Kuagiza Bidhaa,Willy Kamanga. 
 
James Oswago
 
Viongozi hao wa IEBC wameshitakiwa mahakamani wakidaiwa kuhusika katika upotevu wa shilingi bilioni 1.3 za kununua mitambo iliyotumika wakati wa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Machi nne mwaka huu.

No comments:

Post a Comment