Wednesday, October 2, 2013

Vurugu Mbeya

IMG-20131002-WA0012
  LEO kulikuwa na vurugu jijini Mbeya zinazodaiwa kusababishwa na uamuzi wa wafanyabiashara wenye maduka kugoma kununua mashine za risiti za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

IMG-20131002-WA0004
IMG-20131002-WA0006
IMG-20131002-WA0010
IMG-20131002-WA0011
IMG-20131002-WA0013
Picha zote kwa hisani ya mbeyayetu.blogspot.com

No comments:

Post a Comment