Mtoto aliyemwambia gaidi 'wewe ni mtu mbaya'
Amber Prior akiwa na wanawe, Amelie na Elliott baada ya kuokoka kwenye shambulizi la kinyama kwenye jengo la maduka na ofisi la Westgate jijini Nairobi Septemba 21 mwaka huu.
Mtoto Elliott (mwenye fulana ya kijani) ana umri wa miaka 4, na ndiye aliyemwambia mmoja wa magaidi kuwa 'wewe ni mtu mbaya'
Gaidi huyo alimjibu mtoto huyo kwa kusema kuwa 'tusamehe, sisi si majinamizi', halafu akampa chocolate.
No comments:
Post a Comment