“Ukikamatwa
na dawa za kulevya hatukutetei kwa sababu hata sheria za nchi zetu zinazuia
biashara hiyo. Sisi hatuwezi kuendelea kuwa na sifa ya kufanya biashara za ovyo
ovyo kiasi hicho. Serikali itawatetea Watanzania wanaoishi nchi za nje ikiwa
wataonewa. Lakini ukifanya biashara ya madawa ya kulevya ama kubaka watu
hatukutetei kamwe,” Rais Jakaya Kikwete.
No comments:
Post a Comment