“Mimi pia hununua asali kwa wafugaji wenzagu kutoka Manyoni,
Singida na Sikonge kwa sababu nina kiwanda kidogo cha kusindika asali inayoitwa
“Follow the Honey” kutoka Tanzania, ambayo naiuza hapa nchini na nje ya nchi na
inauzika sana”, kazi sio tu kuvaa tai shingoni na kukaa ofisini fursa nyingi
zipo kwenye kilimo”.Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
No comments:
Post a Comment