Kiungo mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Stars , Amri Kiemba na beki wa timu
ya Rwanda, Michel Rusheshangoga wakiwania mpira wakati wa mchezo wa robo fainali ya kwanza uliochezwa katika Uwanja wa
KCC uliopo Lugogo nchini Uganda.Kili Star walishinda 2-0
Kiungo mchezeshaji wa Kilimanjaro Stars, Mwinyi Kazimoto akizuiwa na
beki wa Rwanda, Ismail Nshutiyamagara
Kipa wa Rwanda aliyelala chini akijitahidi kuokoa goli
lililofungwa na Amri Kiemba baada ya kazi nzuri iliyofanywa na Mwinyi Kazimoto
Mashabiki wa Kilimanjaro Stars
Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Stars, Mrisho Ngasa aliyelala
chini na wachezaji wenzake wakishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuwanyuka Rwanda 2-0
Kila la heri Kili Stars.
No comments:
Post a Comment