Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya nchi za
Jumuiya uchumi na maendeleo ya Kusini (SADC) Rais Dkt.Jakaya Kikwete
akimkaribisha Ikulu Rais Jackob Zuma wa Afrika Kusini ili kushiriki kikao
cha kamati hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na
Usalama ya nchi za Jumuiya uchumi na maendeleo ya Kusini (SADC) Rais
Dkt.Jakaya Kikwete akimkaribisha ikulu Rais Jackob Zuma wa Afrika Kusini ili kushiriki kikao cha kamati hiyo.Pembeni ni Katibu Mkuu wa
SADC Dr.Tomaz Salomao.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya SADC Rais Dkt.Jakaya Kikwete(
Wanne Kushoto) akiwa na viongozi SADC waliopo katika kamati hiyo.Wengine
katika picha ni Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma (watatu kushoto),
Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia (kulia),Rais Mstaafu wa Msumbiji
ambaye pia ni msuluhishi wa SADC kwenye mgogoro wa Madagaska, Joachim
Chissano (wapili kushoto) na kushoto ni Katibu mkuu wa SADC Dkt.Tomaz
Salomao. (Picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment