Rais
Jakaya Kikwete, akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo
alipofika kutoa heshima za mwisho kuuaga mwili wa marehemu Jackson
Makwetta, aliyefariki dunia juzi jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akimfariji mjane wa
marehemu baada ya kutoa heshima za mwisho kuuaga mwili wa
marehemu Jackson Makwetta
Rais Jakaya Kikwete akitoa heshima za
mwisho kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta
Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo alipofika kutoa heshima za mwisho kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta, aliyefariki dunia juzi
jijini Dar es Salaam.
Makweta aliwahi kuwa Mbunge na
Waziri katika wizara mbalimbali, nchini.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kuuaga
mwili wa marehemu Jackson Makwetta
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Uratibu na Bunge) William Lukuvi, akitoa heshima za mwisho kuuaga
mwili wa marehemu Jackson Makwetta, nyumbani kwa marehemu, Bunju, jijini Dar es
Salaam.
Spika
wa Bunge, Anne Makinda akitoa heshima za mwisho kuuaga mwili
wa Jackson Makwetta
No comments:
Post a Comment