Friday, November 16, 2012

Ponda kizimbani, arudishwa rumande


 Ulinzi uliimarishwa katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi ya Sheikh Ponda Issa Ponda
 Watu waliofika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaa wakipekuliwa

 Ponda akiwa Mahakamani
 Askari Magereza akimfunga pingu Sheikh Ponda Issa Ponda baada ya kesi yake kuahirishwa hadi tarehe 29 Novemba.
 Watuhumiwa wakiwa mahakamani
 Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na wakili wake
Sheikh Ponda Issa Ponda akirudishwa rumande

No comments:

Post a Comment