Wednesday, November 14, 2012

Manjonjo ya Dokii wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM


 Msanii wa Filamu anayetamba kwa lafudhi ya Kikenya,Ummy Wenselaus maarufu kwa jina la Dokii akionesha chata ya 'JK' aliyoichora shavuni wakati msanii huyu na kundi lake walipokuwa mjini Dodoma katika Mkutano wa CCM kwa ajili ya kutoa burudani.
 Hapa Dokii akionesha Mtindo wake wa Nywele
 Dokii Kati akiwa na vijana wake ambao hutoa nae burudani.
 Hapa akionesha hiyo neno "VIMEGHARAMIWA NDIO MAANA VINAPENDEZA"
Dokii akiwa na Juma Kapuya nje ya ukumbi wa Kizota , Dodoma

No comments:

Post a Comment