Saturday, November 17, 2012

Kinana aanza kazi Lumumba


  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akiwasalimia wafanyakazi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, wakati alipokwenda kuanza rasmi kazi za kukiongoza chama hicho.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment