Rais
Jakaya Kikwete akimpa pole Katibu wa Mufti Zanzibar Sheikh Fadhili Soraga ambaye amelazwa katika chumba cha dharura
katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akitibiwa majeraha usoni na
kifuani yaliyotokana na kumwagiwa tindikali wakati akifanya mazoezi katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe mjini Unguja.
No comments:
Post a Comment