Rais
wa Rwanda, Paul Kagame akisalimiana na mjumbe wa bodi ya udhamini ya
klabu ya Yanga wakati msafara wa viongozi na wachezaji wa klabu hiyo
walipofika Ikulu ya jijini Kigali.
Rais
Paul Kagame wa Rwanda akisalimiana na Kocha Mkuu wa timu ya Yanga ya Tanzania, Tom
Saintfiet wakati msafara wa viongozi na wachezaji wa timu hiyo
walipomtembelea Ikulu jijini Kigali.
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akizungumza wakati wachezaji na viongozi wa timu hiyo walipokuwa Ikulu ya Rwanda.
Rais
Paul Kagame wa Rwanda akipokea Kombe la klabu Bingwa Afika Mashariki
kutoka kwa Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro' na kocha wa Yanga,
Tom Sainrfiet
Kikosi cha Yanga pamoja na viongozi wake wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Rwanda, Paul Kagame.
Kwa hisani ya blog ya Mseto
No comments:
Post a Comment