Thursday, August 9, 2012

Wanafunzi wa darasa la 3 wakiwa darasani!


WANAFUNZI wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Silabu iliyopo Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga wanasomea kwenye uchochoro unaotenganisha kati ya darasa moja na lingine kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa. 
 
Chanzo: Blogu ya Lukaza

No comments:

Post a Comment