Thursday, August 23, 2012

Shati la Mbunge wa Nzega



Mbunge wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangala akiwa amevaa shati lenye jina lake wakati anachukua fomu ya kuomba kugombea uenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa.
 Anthony Diallo
wakati huohuo Mbunge wa zamani wa Ilemela, Anthony Diallo amechukua fomu kugombea uenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza.

Picha ya chini ni Dk Kigwangala

No comments:

Post a Comment