Rais
Jakaya Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib
Bilali aliyemsindikiza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam, muda mfupi kabla Rais kuondoka kwenda Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC jijini Maputo.
No comments:
Post a Comment