Wednesday, July 11, 2012

Rais wa Chama Cha Madaktari kizimbani Kisutu

 Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi wakati akiingia mahakamani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi wakati akiingia Mahakamani leo.
  Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi wakati akiingia Mahakamani leo.
 Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi akiwa na mama yake mzazi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. 
 Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi (kulia) akiongozana na baba yake mdogo, Hilary Chinendachi mara baada ya kupata dhama katika Mahakama ya Hakimu Makazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi akipeana mikono na baadhi ya madaktari waliofika kujua hatma yake baada ya kufikishwa mahakamani kujibu mashitaka ya kukaidi amri ya Mahakama ya kutaka kusitisha mgomo wa madaktari.
Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi akiwa na mama yake mzazi (katikati), pamoja na baba yake mdogo, Hilary Chinendachi mara baada ya kupata dhama katika Mahakama ya Hakimu Makazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Picha kwa hisani ya blog ya habarimseto

No comments:

Post a Comment