Thursday, June 14, 2012

Taifa Stars tayari kuikabili Mambaz

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick  akizungumza katika hafla ya kukabidhi bendera timu ya Taifa ya Tanzania inayokwenda Msumbiji kucheza mechi ya marudiano ya kufuzu Mataifa Afrika 2013 dhidi ya Mambaz.
 Wachezaji wa Stars wakiwa katika hafla hiyo
 Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Juma Kaseja (kushoto) akipokea bendera ya Taifa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick  akipeana mkoa na mshumbuliaji wa Taifa Stars, Haruna Moshi 'Boban' wakati wa kukabidhi bendera timu ya Taifa ya Tanzania inayokwenda Msumbiji kucheza mechi ya marudiano ya kufuzu Mataifa Afrika 2013 dhidi ya Mambaz.

www.francisdande.blogspot.com

No comments:

Post a Comment