 |
Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akiapa. |
 |
Balozi Naimi Sweetie Hamza Aziz akiapa. |
 |
Balozi Silima Kombo Haji akiapa. |
 |
Balozi Vincent Joel Thomas Kibwana akiapa. |
 |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha mabalozi wapya kumi watakaoongoza idara na kurugenzi mbalimbali katika Wizara ya Mambo ya nje
na Ushirikiano wa Kimataifa. | | | | |
|
Pichani Rais akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wapya aliowaapisha
ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Kutoka kushoto waliosimama
mstari wa mbele ni Balozi Bertha Semu Somi, Balozi Hassan Simba Yahya,
Balozi Vincent Joel Thomas Kibwana, Balozi Naimi Sweetie Hamza Aziz,
Balozi Irene Mkwawa Kasyanju na Balozi Dora Mmari Msechu.
Waliosimama
nyuma (kutoka kushoto) ni Balozi Silima Kombo Haji, Balozi Celestine
Joseph Mushy, Balozi Mbelwa Brighton Kairuki na Balozi Ramadhan Muombwa
Haji. (picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment