Friday, June 8, 2012

Lita ya mafuta ya taa elfu 3,500 Mbeya


 Wananchi wa Jiji la Mbeya wakihaha kupata mafuta ya taa.
 Wanasubiri mafuta ya taa

 Foleni ya kupata mafuta ya taa jijini Mbeya

 Kibao hiki kinaonesha bei ya awali ya nishati hiyo


Kituo cha mafuta ambacho kipo Ng'ambo ya Idara ya maji Jijini Mbeya.
 
Chanzo: Blog ya Mbeya yetu 

No comments:

Post a Comment