Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa walipokutana katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kuuaga mwili wa muasisi wa
Chadema, Bob Makani. Katikati ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
Nape(kushoto) akifurahia jambo na Dk. Slaa
Nape na Dk. Slaa
No comments:
Post a Comment