Wednesday, June 13, 2012

Kesho ni bajeti ya Serikali


Spika wa Bunge Anne Makinda.

Mkutano wa Bunge ulioanza jana mjini unaendelea, na kwa kiasi kikubwa hivi sasa Watanzania wanasubiri kusikia vipaumbele vya Serikali katika mwaka ujao wa fedha 2012/2013 vinavyotarajiwa kutangazwa kesho kwenye bajeti ya Serikali. 

No comments:

Post a Comment