Wednesday, May 23, 2012

It's my birthday!

 Namshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, aksante kwa wazazi wangu, Caroline na Philip Msongo kwa kunileta duniani na kunilea hadi sasa, mungu awabariki. 

Aksante pia kwa muumba kwa kunipa rafiki kipenzi, faraja yangu, furaha yangu, na kwa baraka zake naamini atakuwa mrithi wangu, mwanangu Brian a.ka. Ronaldo, a.ka. Choda a.k.a Hakunaga.

Akasanteni wote mlioniwezesha kufika hapa nilipo, safari inaendelea, siku hazigandi, tuombeane heri na fanaka.

Siku njema.

No comments:

Post a Comment