Kwa mujibu wa Wakili wa Serikali, Elizabeth Kaganda, mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Rita Tarimo, upelelezi bado haujakamilika, mshitakiwa amerudishwa rumande hadi Mei 07 mwaka huu itakapotajwa tena.
Lulu kashitakiwa akidaiwa kumuua msanii maarufu wa filamu nchini Tanzania, Steven Kanumba.
Picha kwa hisani ya blog ya DAILY MITIKASI
No comments:
Post a Comment