Monday, March 19, 2012

Mwakyembe aenda ofisini, azungumza na Waandishi wa Habari



Picha kwa hisani ya blog ya Full shangwe.


Baada ya kutokuwepo ofisini kwa muda mrefu kwa sababu ya kuumwa, Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe leo ameanza kazi ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment