Saturday, March 3, 2012

Familia ya bloggers yazidi kukua

Kuna mdau kanitumia ujumbe huu, tafadhali tumpe ushirikiano


Mambo? Za kazi? Mimi naitwa "MaryGlory Jenice William", naomba kuchukua fursa hii kuintroduce blog yangu mpya kwa wadau mbalimbali kupitia Blogg yako inaitwa "chaguamimi.blogspot.com" inayohusu mambo ya jamii kwa ujumla, ikiwamo burdani, mitindo, siasa, watu maarufu nchini kwetu na duniani kote, changamoto mbalimbali pamoja na decorations.


Asante kwa ushirikiano.


Thanks Mary G.

No comments:

Post a Comment