Thursday, February 16, 2012

Dawa, pombe vimemuua Whitney Houston

HATIMAYE, familia ya nyota wa muziki duniani, Whitney Houston (48) imefamishwa kuwa, mchanganyiko wa dawa na pombe ndivyo vilivyokatisha uhai wa mama huyo wa mtoto mmoja.


Imefahamika kwamba, Whitney alikuwa tayari ameaga dunia wakati anazama kwenye sehemu ya kuogea bafuni.


Soma hapo chini


Whitney Houston‘s cause of death has been revealed to be drugs — not drowning, as previously reported.

Whitney, who was 48, died of an alleged combination of Xanax with other prescriptions and alcohol, TMZ reports.


The L.A. County Coroner informed the family that there was not enough water in her lungs to point to drowning, but rather she was likely already dead from the mixture by the time she became submerged in bathwater.

No comments:

Post a Comment