Friday, January 27, 2012

Dk. Migiro kuachia ngazi UN

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon ametangaza mabadiliko makubwa katika safu ya uongozi ndani ya Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa.


Akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon amethibitisha kwamba Naibu Katibu Mkuu, Dk. Asha- Rose Migiro ameomba kupumzika.


Bw. Vijar Nambiar ambaye ni Mkuu wa Ofisi yake ( Chef de Cabinet), pia anaachia ngazi UN.


“ Kama mlivyotangaziwa mwishoni mwa mwaka jana kuhusu mabadiliko yanayotarajiwa katika nafasi za watendaji waandamizi. Ningependa kuongezea na kuwajulisha kwamba, Naibu Katibu Mkuu, Bibi.Migiro na Bw. Vijar Nambiar wamewasilisha kwangu maombi yao ya kutaka kuachia nafasi zao , ili kuniruhusu kuunda timu mpya ya maafisa waandamizi nitakaofanya nao kazi katika awamu ya pili ya uongozi wangu” akasema Ban Ki Moon.


“ Ninapenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwa Naibu Katibu Mkuu, Asha- Rozi Migiro, kwa uamuzi wake huo, na kwa kazi nzuri na ushirikiano mkubwa na usio na shaka wala doa alionipatia katika kipindi chote miaka mitano iliyopita akiwa msaidizi wangu wa karibu.


“ Amenipatia ushirikiano mzuri sana, alinishauri kwa busara na amejituma sana na kwa kuadilifu mkubwa katika kukabiliana na changamoto nyingi zilizoikabili Taasisi hii wakati wa awamu yangu ya kwanza ya uongozi” akasisitiza Ban Ki Moon.


Katibu Mkuu wa UN, akawaeleza waandishi wa habari kwamba, Naibu Katibu Mkuu, Migiro ataendelea kuwepo ofisini hadi mwezi wa sita mwaka huu ili kuratibu na kusimamia kipindi cha mpito pamoja na maandalizi ya Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo Endelevu (RIO+20).


Kwa mujibu wa Ban Ki Moon, pamoja na Migiro kuwasilisha ombi lake wapo pia baadhi ya watendaji waandamizi ambao nao wameonyesha nia ya kuachia nafasi zao ili kupisha menejimenti mpya.


Miongozi mwa maafisa hao ni pamoja na Msimamizi Mkuu wa Ofisi yake Bw. Vijay Nambiar ambaye katika muda muafaka atapewa kazi ya kuwa mshauri wa Katibu Mkuu kuhusu Mynmar.


Watendaji wengine watakaondoka na ambao wengi wao walikuwa katika awamu ya kwanza ya uongozi wa Ban Ki Moon ni kutoka Idara za Utawala, Maendeleo, Huduma za Mikutano, Habari, Ofisi ya Opokonyaji wa silaha, na Mshauri wa Masuala ya Afrika.


Wengine ni wasimamizi wa Idara za Uchumi za Afrika na Ulaya, waratibu wa mifuko ya maendeleo na Idadi ya watu UNDP na UNFPA.


Aidha wamo pia wawakilishi maalum wa Katibu Mkuu wanaohusika na masuala ya watoto katika migogoro ya kivita, na uzuiaji wa mauaji ya kimbali, ambao wanatarajiwa kuachia nafasi zao kati kati ya mwaka huu.


Akaeleza pia kwamba mchakato wa kujaza nafasi Nane zitakazoachwa wazi katika ngazi za ukatibu mkuu msaidizi (Under-Secretary General) umekwisha anza .Akasema ujazaji wa nafasi hizo ambao utakuwa wa uwazi utazingatia sana sifa na uwezo wa mtu, uwiano wa kikanda na jinsia.

12 comments:

  1. Hello friends, how is thе wholе thing, anԁ ωhat you woulԁ like to saу regardіng
    thіs post, in my viеw its actually аmazing foг me.

    http://blogs.rediff.сom/vаnnialfoгd2590/2012/12/17/2-broke-girls-seaѕon-2-episode-12-and-the-high-holiԁays-wtch-fr33-onlinе-stream/
    Also see my site :: 2 Broke Girls Season 2 Episode 12

    ReplyDelete
  2. Why people still use to read news papers when in this technological world the whole thing is
    accessible on web?
    My homepage : http://www.TheCriticalBenchProgram2Review.com

    ReplyDelete
  3. Hi there to every single one, it's actually a nice for me to pay a visit this web page, it includes valuable Information.
    Feel free to surf my homepage ... how to pick girls up qiu ai gan Si dui

    ReplyDelete
  4. I love reading a post that will make people think.
    Also, thank you for permitting me to comment!
    my website: Muscle Gaining Secrets Reviews

    ReplyDelete
  5. Wow, fantastic blog layout! How long have you been blogging for?

    you made blogging look easy. The overall look of your website is magnificent, as well as the content!
    Look at my website :: http://Www.31Dayfatlosscurereview.org

    ReplyDelete
  6. Аskіng questіonѕ аre in fасt fаstіdiοuѕ thіng
    if уou аre not undеrstаnding anythіng totаlly, but this artiсle offers goοd unԁerѕtanding yеt.


    Feеl freе to suгf to my wеb page
    :: Arctic Air Season 2 Episode 6 online

    ReplyDelete
  7. My spouse and I stumbled over here different page and thought I should check things out.
    I like what I see so i am just following you. Look forward
    to exploring your web page for a second time.

    Also visit my web site - perfect Waist to hip ratio

    ReplyDelete
  8. If you are going for best contents like myself, only visit this website daily for
    the reason that it provides feature contents, thanks

    Here is my blog post; diet that works

    ReplyDelete
  9. We're a group of volunteers and opening a new scheme in our community. Your website provided us with valuable info to work on. You have done a formidable job and our entire community will be grateful to you. how to lose weight quickly

    ReplyDelete
  10. Hi, I do believe this is a great web site. I stumbledupon it ;) I'm going to come back yet again since I saved as a favorite it. Money and freedom is the greatest way to change, may you be rich and continue to help other people.

    Also visit my weblog: diets that work

    ReplyDelete
  11. What's up Dear, are you actually visiting this website on a regular basis, if so then you will without doubt get good know-how.

    Look at my web page :: elizasmakeover.com

    ReplyDelete
  12. Good day! I know this is kinda off topic but I'd figured
    I'd ask. Would you be interested in trading links or maybe guest authoring a blog article or vice-versa?
    My blog goes over a lot of the same topics as yours and
    I feel we could greatly benefit from each other. If you
    are interested feel free to send me an email. I look forward to hearing from you!

    Excellent blog by the way!

    my website ... live sex cams

    ReplyDelete