Thursday, August 4, 2011

'Shemeji' sahani moja na wake wa mastaa



Mwanasoka maarufu wa Nigeria Joseph Yobo akiwa na mkewe, Adaeze.




Tovuti nchini Marekani imeandika habari kuhusu wanawake ambao ni wake au wapenzi wa wanasoka wenye mvuto zaidi wa kimapenzi.




Mke wa mchezaji mmoja tu Mwafrika, Mnaijeria Joseph Yobo, ndiye aliyewekwa kwenye orodha hiyo na mwanamke pekee Mwafrika kwenye orodha hiyo.




Kwa mujibu wa tovuti hiyo, Adaeze anakula sahani moja na akina Coleen Rooney, Shakira, Victoria Beckham, Mtalaka wa Christiano Ronaldo, Letizia, mpenzi wa sasa wa Ronaldo, Nereida.


Kwa mujibu wa tovuti hiyo, Mrs Yobo ana mvuto kuliko mke wa John Terry, Toni.



An American website published an article titled "101 listed sexiest footballers' Wife and Girlfriends" and Adaeze Yobo (wife of Joseph Yobo) was ranked 92nd on the list and she is the only African.


Few others that made it onto the list include:


Sylvie Van Der Vaart (wife of footballer Rafael van der Vaart) was ranked 6th


Abbey Clancy (married to footballer Peter Crouch) was ranked 8th


Letizia Filippi ( C. Ronaldo's Ex.) was ranked 9th


Cheryl Tweedy (Ashley Cole's Ex.) was ranked 11th

Coleen Rooney (Wanye Rooney's wife) was ranked 13th


Verena Kerth ( the lady Oliver Kahn left his eight-month pregnant wife to have an affair with) was ranked 17th


Debora Salvalaggio ( ex-girlfriend to Christian Veiri) is ranked 38th.


Shakira ( the official girlfriend to Gerald Pique) was ranked 42nd.


Victoria Beckham (Formerly known as Posh Spice, David Beckham's wife) was ranked 49th.


Carly Zucker (wife of British footballer Joe Cole) was ranked 81st


Nereida Gallardo (One of the plenty women in CR7's life) ranked 91st


Toni Terry ( John Terry's wife) ranked 97th.


Where are the wives of Taiwo Taiyo, Obafemi Martins and the newest groom amongst the plenty, IK Uche.

No comments:

Post a Comment