Wednesday, July 6, 2011

Prince William na mkewe nchini Canada



Mjukuu wa Malkia Elizabeth wa Uingereza (mtoto wa Princess Dianna na Prince Charles), Prince William na mkewe, Kate wapo kwenye ziara ya siku 9 nchini Canada.




























No comments:

Post a Comment