Tuesday, July 19, 2011

Modo akanusha kupeana unyumba na Lopez

Jennifer Lopez na William Levy katika video ya wimbo I'm Into You

Levy amesema, alikuwa na 'wakati mzuri sana' wakati wanashoot video hiyo.


Modo William Levy (30) amekanusha tuhuma kwamba, anapeana unyumba, a.k.a anapeana uroda na mwanamuziki Jennifer Lopez (41).



Tetesi kuwa wasanii hao wanachakachuana zilianza muda mfupi baada ya kurekodi video ya wimbo I'm Into You wa Lopez nchini Mexico Aprili mwaka huu.


Mwezi mmoja baada ya kurekodi wimbo huo, Levy aliachana na mkewe aliyeishi nae kwa miaka minane.


Ijumaa iliyopita, Lopez naye aliachana na mumewe, Marc Anthony, wameishi pamoja kwa miaka saba, wana watoto wawili pacha wenye umri wa miaka mitatu.


Mwanamuziki Jennifer Lopez akiwa na aliyekuwa mumewe, mwanamuziki Marc Anthony.



A male model known as the 'Brad Pitt of Cuba' has denied having an affair with Jennifer Lopez.


William Levy, 30, made a shirtless appearance in the pop star's new video I'm Into You, which was filmed in Mexico in April.


The American Idol judge, 41, was shown cosying up to him in sensual beach scenes filmed at Turtle Beach.


The video filmed in Mexico in April, Levy separated from his wife of eight years, Elizabeth Gutierrez, a month after the shoot.


Today he dismissed reports he is dating the star, who announced her separation for Marc Anthony on Friday.


A spokesperson for Levy told TMZ: 'The only relationship there was or is, is a professional relationship.


That’s all there’s ever been.'The telenovela actor raved about working with the singer after the video shoot.


'It was wonderful. I felt very comfortable. She is a very sincere and fun person,' he said at the time.


'The truth is I had a really great time,' he added. 'It was wonderful to see that someone so huge could be so down to earth, in addition to being really funny.'

No comments:

Post a Comment