Tuesday, July 19, 2011

Mama na mwana

Mtoto wa mwanasoka maarufu Uingereza, Wyne Rooney, Kai, akianguka baada ya kuteleza wakati akienda kuogelea.
Mke wa mwanasoka Wyne Rooney, Coleen, akiwa na mtoto wao, Kai, walipoenda kuogelea.

No comments:

Post a Comment