Wednesday, June 22, 2011

Torres na familia yake ufukweni

Mshambuliaji wa matajiri wa London, Chelsea, Fernando Torres (27), mkewe, Olalla wakiwa na mtoto wao, Nora (2) katika ufukwe wa Ibiza.


Torres na mkewe wakiwa na mtoto wao mwingine, Leo mwenye umri wa miezi sita.


The Spanish star was seen spending quality time with his beautiful wife and family in Ibiza yesterday.


Torres, 27, was seen holding his six-month-old beautiful baby son Leo as he waded out into the surf with his wife, childhood sweetheart Olalla, and their daughter Nora, who's almost two.

No comments:

Post a Comment