Monday, May 30, 2011

Wanaojua walicheza, wengine waliutafuta!

Wakati tunatazama mpira Jumamosi usiku, kila mara niliwaeleza wenzangu kwamba, wanaojua wanacheza, wengine wanautafuta.


Takwimu za hadi mapumziko zilithibitisha kauli yangu, unapofanikiwa kumuliki mpira kwa asilimia 67 unatarajia nini? Ile ndiyo Barcelona, Barca NOMAA!


Kocha wa Man United amekiri kwamba hajawahi kucheza na timu yenye kiwango cha Barca na sikushangaa alipooneshwa mikono ikitetemeka.


Soma Hapo chini maneno ya Babu


'You get teams who elevate themselves to that status and Barcelona are that team,' added Ferguson.


'They mesmerise you with their passing. We never controlled Messi but many teams over the past couple of seasons could say that. Our challenge now is to get better and better. Next season we may improve even more.'










Unapokuwa na timu yenye viungo wenye kiwango cha juu kama Xavi Hernandez na Andres Iniesta, na mshambuliaji GENIUS kama Lionel Messi, wasaidizi wakiwa ni David Villa na Pedro unatarajia nini?




Kocha wa Barca, Gardiola amesema, hatabaki kwa miaka mingi kwenye timu hiyo ya Hispania lakini anatambua kwamba, kokote atakapokwenda hatapata wachezaji wenye viwango kama vya wale alionao sasa Barcelona.


Sir Alex Ferguson saluted Barcelona as one of the greatest teams the game has ever seen and the Manchester United manager conceded: 'No one has given us a hiding like that.'


'We were well beaten by a fantastic team, there's no other way to describe it,' said Ferguson, who has managed United since 1986 and was hoping to lift the European Cup for a third time.



1 comment:

  1. Hi there, just became aware of your blog through Google, and found that it is really informative.
    I'm gonna watch out for brussels. I will appreciate if you continue this in future. Many people will be benefited from your writing. Cheers!
    Here is my web page ... Status Symbols

    ReplyDelete