Tuesday, May 31, 2011

Shakira alivyowapagawisha wachezaji wa Barcelona

Beki wa Barcelona, Gerrad Pique akiwa amemweka zero distance mahabuba wake, Shakira kwenye stage wakati mwanamuziki hiyo maarufu duniani alipowapagawisha mashabiki kuipongeza Barcelona kwa kutwa ubingwa wa Uefa.

'Unadhani najivunga? lete vituuz niwaoneshe manjonjo yangu'

Shakira akijiachia na la aziz wake, beki wa Barcelona, Pique jijini Barcelona

Wachezaji wa Barcelona wakihamasishana kucheza na Shakira (wa pili kulia)




Beki wa Barcelona, Gerrad Pique (kulia) akipambana na mshambuliaji wa Man United, Javier Hernandez a.k.a Chicharito wakati wa mechi ya fainali Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya Jumamosi katika Uwanja wa Bembley nchini Uingereza.

No comments:

Post a Comment